VIONGOZI WA SIMBA WAKO MAKINI SANA NA TAALUMA ZAO. Kanuni inapovunjwa hakuna swala la kutumia busara lazima usimamie hiyo kanuni kwa ajili ya maslahi ya soccer letu. Machi 8,2021 kulitokea sintofahamu baada ya mechi ya Derby kati ya simba na yanga kusongezwa muda mbele,ambapo mechi hiyo ilikuwa ichezwe saa 11:00 jioni.lakini ilikuja kusogezwa mbele na Shirikisho la mpira na kuonekana ichezwe saa 1 jioni..lakini yanga walidai kuwa mchezo huo utachezwa kwa muda ule ule wa awali saa 11:00 jioni, kama ilivyokuwa imepangwa kwa kudai kuwa, kuna kanuni ilivunjwa na mechi hiyo haikuchzwa tena siku hiyo na kuhairishwa hadi ilipopangiwa tena tarehe 8 mei,2021. Leo tena Imetokea swala la kanuni, Simba nao wamepiga pale pale kwenye mshono,Dadeki..ambavyo utopolo wao hawakutaka kutumia busara na kususia mechi kucheza kwa muda ule ulisogezwa mbele na bodi ya ligi,ndivyo hivyo hivyo Simba nao wametumia Kanuni kukatalia mechi leo.kwaiyo utopolo wakae kimya wasitupigie kelele watulie kabisa kanun...